tiko
tiko
Ikiwa imebaki saa chache kumaliza mwaka, tathimini bado zinafanyika kwa mambo ambayo yametokea mwaka mzima.
Burudani mara zote imekuwa karibu na maisha yetu, ikiwemo muziki.
Kwenye rekodi mbalimbali zilizovunjwa kwa kufanya vizuri mwaka huu, ipo hii ya list ya Top Ten ya zile Collabo zitakazokumbukwa zaidi kwa kufanya vizuri Mwaka 2014 kwenye muziki.
- Hangover- Psy feat. Snoop Dogg.
-
Flawless (Remix)- Beyonce feat. Nicki Minaj.
-
Sing- Ed Sheeran feat. Pharrell Williams.
-
Uptown Funk- Mark Ronson feat. Bruno Mars.
-
Bang Bang- Jessie J feat. Ariana Grande & Nicki Minaj.
-
Love Never Felt So Good- Michael Jackson feat. Justin Timberlake.
-
Can’t Remember to Forget You- Shakira feat. Rihanna.
-
Fancy- Iggy Azalea feat. Charli XCX.
-
Dark Horse- Katy Perry feat. Juicy J.
-
Ew!- Jimmy Fallon feat. Will.i.am.
Kwako mtu wangu, nikikuomba uangalie
muziki wa Bongo 2014 halafu uniandalie list ya Top 3 ya Collabo
ulizozipenda utaipangaje? Nitafurahi ukiniandikia.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia
mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram
na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment