tiko
tiko
FLORA Mtegoa ambaye ni mama wa marehemu Steven Kanumba, amesema kuwa Sikukuu ya Krismasi kwake imekuwa mbaya kutokana na kifo cha mama yake mzazi kilichotokea mwaka huu tarehe na mwezi aliyofia Kanumba.
Akizungumza na Amani, mama Kanumba
alisema kuwa anashindwa kuelewa ni kwa nini matatizo kwake yanakuja siku
ambayo mwanaye Kanumba alifariki kitu ambacho kinampa wakati mgumu hadi
akili yake inashindwa kufanya kazi.
“Siwezi kusema nina furaha wakati mama
yangu hayupo na hiyo ndiyo inayonipa wakati mgumu wa kutokuwa na furaha
kwenye maisha yangu, nina majonzi ya muda mrefu pengine Kanumba
angekuwepo basi ningeweza kula kwa amani,” alisema.
tiko
tiko
Post a Comment