Kijana
mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Anton, Jumapili ya Pasaka alikula
sikukuu kwa kupewa kichapo na wananchi wenye hasira kwa madai kuwa ni
kibaka.Tukio hilo lililotokea saa 12 asubuhi maeneo ya Sinza Afrikasana
ambapo walioshuhudia tukio...
Scanning..
Hali tete jijini dar..!! Polisi Yazuia Wafuasi Wa Askofu Gwajima.....Vikosi vya Mbwa, Farasi,Magari sasa kila Kona.

Jeshi
la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limesema wafuasi wa
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima,Josephat Gwajima ...
AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUGUNDULIKA KUHUSIKA NA KIFO CHA MAREHEM

Picha Ya Maktaba
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Ulowa Kahama, Chausiku Hamis
ameuawa kwa kuchomwa moto na watu waliokusanyika katika msiba wa mtoto
wa jirani baada ya kutuhumiwa kuhusika na kifo cha mtoto huyo.
Mtoto huyo mwenye...
Yemen:Houthi yavamia mji wa Aden
Wapiganaji Yemen wanakamia Aden
Wapiganaji waasi nchini Yemen wamezidisha mapigano yao katika hatua za kuuthibiti kabisa mji wa Aden.
Nyumba kadhaa zimechomwa moto huku sauti zikisikika kutoka kwenye vipaza sauti misikitini,
ya kuwataka raia wote...
Ester Kiama: Nammeneji Tu Dude Wala Si Mchepuko Wake
Baada minong’ono kuzagaa kila kona kuwa
kuna uhusiano wa kimapenzi kati ya mwigizaji wa kike Ester Kiama na
muongozaji na mwigizaji Kulwa Kikumba, mwanadada huyo amekanusha na
kudai kuwa yeye ni meneja tu wa msanii huyo na anamsimamia kurudisha...