Kufuatana na hali halis ya watu
kujibadili sura mpaka kukalibia jini, siku ametokea muungwana mmoja
Africa akasema viwanda vya vipodozi na mikorogo vizimwe na kutotumika
tena. Ipo siku tutawasahau wengi, wengine tutawapa shikamoo bibi,
wengine kuwakimbia kwa mabaka ya rangi nyingi tofauti.
Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.
Post a Comment