tiko
tiko
Drivers
various fire agencies, they intend to share a nationwide strike Friday
this week, pressuring the government to remove various impediments
facing unemployment, including guaranteed with the mandate of wanting to
read.
Wakizungumza
kupitia Katibu wa Muungano wa vyama vya madereva Bw. Rashid Saleh,
Madereva hao wameiambia East Africa Radio kuwa suala la kurudia kusoma
kila wanapohuisha leseni zao ni aina nyingine ya unyanyasaji kwa maelfu
ya madereva nchini, ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa hawana mfumo mzuri
wa ajira licha ya kutupiwa lawama kibao kuwa wao ndio chanzo cha
ongezeko la ajali.
Katibu
huyo wa Muungano wa Vyama vya Madereva ameitaja kero nyingine kuwa ni
hatua ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji NIT kutamka hadharani kuwa
vyeti walivyonavyo madereva hao sio halali na kwamba Ijumaa wiki hii
wanakusudia kukutana na Waziri wa Kazi na Ajira kwa ajili ya kuzungumzia
kero hizo kwa lengo la kuepusha kutokea kwa mgomo huo.
Saleh
ametaja madereva wanaounda muungano huo kuwa ni wa bodaboda, bajaj,
teksi, daladala, mabasi ya safari fupi, mabasi ya safari ndefu na za nje
ya nchi pamoja na madereva wa magari yote ya mizigo.
According
to the leader of the drivers union, meeting on Friday will be the only
limiting factor if these drivers bark or continue to work because they
are tired of contempt even for basic things that affect their lives.
Some
of the contempt he mentions include owners of buses (ie their
employers) to call them are criminals while an adult, with a family,
working lawful and requiring respected.
tiko
tiko
Post a Comment