Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Mapaparazzi wamemuotea Drake kwenye hizi picha akiwa mapenzini na girlfriend mpya.

tiko tiko
drake 6Rapper maarufu kwenye headlines za dunia, Drake aliotewa kwenye hizi picha na Mapaparazzi huko Australia akiwa na mrembo ambae inaaminika ndio girlfriend wake mpya.
Mrembo anaitwa Bernice Burgos mwenye umri wa miaka 34 ambae ana asili ya Puerto Rico na ni model/video queen aliyetokea kwenye video kadhaa kama Work Out ya J. Cole na ‘Diced Pineapples’ ya Rick Ross, Wale na Drake kwa mujibu wa Necole Bitchie.
Drake 1Drake mwenye umri wa miaka 28 aliwahi kukiri zaidi ya miaka minne iliyopita kwamba kwa wakati huo hajawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo ambae wanalingana umri, siku zote warembo wake huwa wanakuwa wamempita kiumri.
drake 2
drake 3
drake 4
drake 5Unaweza kutazama video alizotokea huyu mrembo hapa chini..
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top