tiko
tiko
 Juma Nature anaamini kuwa akiamua kugombe ubunge wa Temeke ataupata kirahisi.
Juma Nature anaamini kuwa akiamua kugombe ubunge wa Temeke ataupata kirahisi.
Nature ameiambia XXL ya Clouds FM kuwa alishafuatwa na baadhi ya viongozi wamkita agombee nafasi hiyo.
  “Walishanifuata watu, lakini kwa mwaka huu nimeona kwanza nikaushe,” amesema Nature. 
  “Mimi
 mbona ubunge wa Temeke nakula, tena vizuri kabisa, bila hata matatizo. 
Kwa vyama mbalimbali siwezi kuvitaja, nimeacha kwanza akina Professor 
wachukue kwanza, lakini baadaye miaka mingapi usije ukashangaa nipo 
mjengoni, nimevaa suti kali,” aliongeza msanii huyo.
  Nature
 alisema akiwa mbunge wa Temeke ataanza kushungulia miundo mbinu ya 
barabara pamoja na ujenzi holela ambao umekuwa ukisababisha mafuriko 
mara kwa mara.
tiko
tiko

 
 
 
 
 
 
Post a Comment