tiko
tiko
Taasisi ya Nipe Fagio kwa kushirikiana na wakazi, marafiki wa ufukwe wa
Msasani beach, leo wamefanya kampeni ya kusafisha ufukwe wa Msasani kwa
kuokota takataka zilizozagaa katika fukwe hiyo.
Akizungumza GPL. Mkurugenzi wa Nipe Fagio, Tania Hamilton alisema
Kampeni hiyo itafanyika kila Jumamosi ya pili ya mwezi ili kuweka
mazingira safi katika jamii yetu, pia nutawashukuru wadhamini wetu;
Archipelago, Regent Tanzania, Trima, Cool Blue, Spina and Span, Mzungu
Kichaa na wengineo.
Zaidi ya watu 100 walihudhuria kampeni hiyo, na kufanikiwa kuokota zaidi ya mifuko 120 ya uchafu wa aina mbalimbali.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment