tiko
tiko
Ukizungumzia miongoni mwa wasanii wa 
Tanzania ambao nyimbo zao huchezwa hadi kuingia kwenye Top 10 za radio 
Nigeria basi Mkali wa hit single ya Kerewe, Sheta lazima awepo kwenye 
list yako.
Shetta ambaye kwasasa yupo Afrika Kusini ameonekana akiwa na mkali wa hit single ya Limpopo, Kcee kwenye maandalizi ya video mpya lakini bado haijajulikana  video hiyo inayotengenezwa ni ya nani.
Siku chache zilizopita kupitia instagram, Kcee alipost picha akiwa na Shetta na kuandika;…“Work mode: on set with my bro @Shettatz no time…”—- @iam_kcee
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko



 
 
 
 
 
 
Post a Comment