tiko
tiko
 Kabla ya kufanya maamuzi haya Beyonce na Jay Z walikaa zao hotelini, hiyo ilikuwa baada ya kutafuta nyumba ya kuishi kwa muda mrefu bila kupata.
Kabla ya kufanya maamuzi haya Beyonce na Jay Z walikaa zao hotelini, hiyo ilikuwa baada ya kutafuta nyumba ya kuishi kwa muda mrefu bila kupata.
Maamuzi yao kwa sasa ni kurudi kwenye 
hii nyumba ya kupanga ndani ya Los Angeles, Marekani ambayo waliwahi 
kuishi mwaka jana pia, hii inakuja baada ya kukosa nyumba ambayo 
itaendana na hadhi yao, ishu nyingine ambayo ningependa na wewe uifahamu
 ni kiasi cha pesa ambacho mastaa hao watakuwa wakilipia kodi kwenye 
nyumba hiyo waliyopanga, pesa hiyo ni dola laki moja na nusu (USD 
150,000/-) ambayo kwa hela yetu ni kama milioni 270/-, lakini mwaka jana
 walikuwa wakilipia dola laki 2.
Hapa kuna PICHAZ za nyumba hiyo ambayo 
mastaa hao wanarudi kwa mara ya pili kuendelea na maisha yao ndani ya 
Los Angeles, ina vyumba saba vya kulala, mabafu tisa, swimming pool 
kubwa.




Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko

 
 
 
 
 
 
Post a Comment