Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

PADRE MUNISHI AWEKWA WAKFU KUWA PAROKO KANISA KATOLIKI BALTIMORE MD

tiko tiko
Baba padre Honest Munishi akiwekwa wakfu kuongoza kanisa la Katoliki la St.Edward Baltimore Md nchini Marekani katika misa iliyoongozwa na Askofu Dennis Madden wa jimbo la kuu la Baltimore, Jumapili Februari 8,2014. Padre Munishi amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Padre Evod Shao aliyemaliza muda wake.
Padre Munishi katika ibada.
Padre Munishi akitia saini mbele ya askofu baada ya kusimikwa kuwa paroko mpya wa kanisa la Baltimore Md.
Baba askofu wa jimbo kuu la Baltimore akimtambulisha padre Munishi kwa waumini wake.
Balozi Liberata Mula mula aliongoza watanzania kwenye ibada hiyo kulia kwake ni mwambata wa jeshi katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Kanali Adolph Mutta.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII

tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top