tiko
tiko
Mimi
naitwa Wanjiku Kutoka Mombasa , Mie nawashangaa sana wa TZ
mnavyowasifia Kina Agness Masogange na Amanda Poshy eti wamejaliwa
nyuma, embu waje Kenya waonewanawake kama mimi tuliojaliwa Sura na Maumbo ya kutatanisha yaaani mimi ukiweka sahani ya chakula hapo nyuma inakaa vizuri kabisa na naweza kutembea nayo bila kuanguka....
Je unamuonaje ? Ni Kweli Agness Masogange Haingii Hapo Kwa Kujaliwaa?
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment