tiko
tiko
Rapper kutokea Marekani ambaye kazi zake zinasimamiwa na kampuni ya Roc Nation, Big Sean baada ya kufanya vizuri kwenye single yake inayoitwa IDWFU, time hii amekuletea single mpya iitwayo Blessings amemshirikisha Drake.
Isikilize hapa #Blessings bonyeza play
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook
ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment