Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Mabeste airudisha amani na B hit’s kupitia hii single mpya

tiko tiko

Story kwenye nafasi ya tisa AMPLIFAYA jana January 21 ilikuwa ya staa wa muziki Tanzania, Mabeste ambaye aliamplify kwamba leo ataachia single mpya iitwayo ‘Usiwe Bubu’, ambapo alisema hii ni maalumu kwa ajili ya kuleta amani kati yake na lebo ya muziki iliyokuwa ikisimamia kazi zake, B Hit’s Music Group.
Isikilize hapa #UsiweBubu kwa kubonyeza play
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top