Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Lugha za kigeni marufuku Ofisi za Serikali Somalia!

tiko tiko
523056579_17367923Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mahmud amepiga marufuku ya matumizi ya lugha za kigeni katika ofisi za Serikali na kusema kuwa lugha pekee ya mawasiliano itakayotumika katika ofisi hizo ni Kisomali.
Rais Hassan amesema lengo la uamuzi ni kuimarisha lugha hiyo.
Spika wa Bunge la Somalia, Muhammad Sheikh Osman Jawari  amesema  ni jambo muhimu kwa jamii ya wasomali kuelewa umuhimu wa lugha yao.
Nitakusogezea kila story inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top