Kuna
msemo usemao duniani wawili wawili kwa upande wako ulishawahi kuambiwa
kuna mtu unafanana naye au kukutana na mtu ambaye unahisi anafanana na
wewe au ukakutana na mtu anayefanana na mtu unayemjua?
Hapa nimekuwekea pichaz ya Mastar ambao
kuna watoto wadogo ambao wanaonekana wanafanana nao kiasi kwamba
unaweza kuhisi picha hizo ni za mastar hao wakiwa wadogo au ni watoto
wao wa kuwazaa, lakini hawana uhusiano wowote.
John Legend Mwanamziki, muigizaji.
Vladmir Putin, Rais wa Russia.
Tiger Woods, Mchezaji golf.
Bill Maher, Mtangazaji, mchekeshaji na muigizaji.
Bruno Mars, Mwanamziki, muigizaji na Producer.
Usher Mwanamziki, muigizaji.
The Rock Mwanamieleka, muigizaji na Producer.
Nakuhakikishia
kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga
na mimi
Post a Comment