Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Barakah Da Prince kwenye masikio yako tena,kaja na hii ‘Siachani nawe’

tiko tiko
barakahHii itakua ni singo ya 2 kuwa rasmi kwenye masikio yako kutoka kwa Barakah Da Prince baada ya ile ya kwanza ya Jichunge akiwa na Tetemesha Production,singo inaitwa Siachani nawe.
CoverImetengenezwa na watayarishaji watatu wa muziki ambao ni Nusder/Lollypop na Kid Boy kwenye studio ya Tetemesha Records.
Bonyeza play kusikiliza.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top