tiko
tiko
Hatimaye Kwa mara ya kwanza Wema
Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond
Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of
East Africa’.
Wema alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,
“Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah”alipoulizwa na Soudy Brown wa U Heard ya XXL kama haoni wivu alijibu, “Wivu
wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi,
so I wish him all the best and I wish him happiness.”
“Mi naweza kusema kwamba maybe
kila kitu ni starting point and all this my work and my issues ilihitaji
starting point, labda nilipokuwa kwenye mapenzi na Nasib nilikuwa
blinded kuyaangalia maisha yangu na future yangu…”
Diamond Zari
tiko
tiko
Post a Comment