tiko
tiko
Mwigizaji wa filamu, Wastara Juma leo
hii aliweka picha hio hapo juu akiwa na marehemu mume wake (Sajuki) na
kuandika maneno haya.
“Mbali nami mpenzi umekwenda moyo wangu jeraha umeweka,sura yako haijanitoka nikifikilia machozi yanitoka,baby wangu rudi”.
Wastara aliendelea kusema.
"Ijumaa ya 02.01.2015 kutakuwa na kudhuru kaburi la marehemu mume wangu Juma Kilowoko (sajuki) kwenye hapo kutakuwa na kisomo na chakula cha mchana kipenzi changu,kipenzi chenu,kipenzi cha watanzania wapenda filamu,asanteni”- Wastara alimaliza.
Jamani tujitokeze kujumuika na familia hii.
tiko
tiko
Post a Comment