tiko
tiko
Tathmini kutoka Marekani imeonyesha idadi ya watu ambao wanapendwa zaidi Marekani kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Hii si mara ya kwanza kufanyika kwa
tafiti hiyo, mara zote kumekuwa na majina tofauti yakijitokeza kila siku
lakini kwa upande wa wanawake, Iron lady Hillary Clinton ameendelea kuwa kinara, akifuatiwa na Oprah Winfrey na nafasi ya tatu ikishikwa na Malala Yousafzai ambaye ni mwanaharakati kutoka Pakistani.
Kwa upande wa wanaume Rais wa Marekani, Barack Obama ameongoza kwenye list hiyo, Papa Francis ameshika nafasi ya pili na Bill Clinton ameshika nafasi ya tatu.
Itazame list kamili hapa

Hii ni ya kutoka Marekani, nitafurahi ukiniandikia kwa hapa Bongo watu wako watatu waliokuvutia zaidi mwaka 2014.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia
mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram
na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment