tiko
tiko
Ukiachana
 na Agness Gerald ‘Masogange’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack 
Patrick’, Rehema Fabian, Husna Maulid ambao walisharipotiwa huko nyuma, 
mrembo maarufu kwa jina moja la Lulu ambaye ameuza sura kwenye ‘kioo’ 
cha Ngoma ya  Shitobe ya msanii anayefahamika kwa jina la Y-Tony, naye 
ameingia katika skendo hiyo.
Uchunguzi
 wa gazeti hili ulibaini kwamba, asilimia kubwa ya warembo hao 
hurekodiwa na wapenzi wao wanapokuwa faragha kunako sita kwa sita na 
pale wanapogombana ndipo wanaume hao huzitupia video hizo mitandaoni ili
 kuwakomoa na kuthibitisha kuwa tayari amempitia hivyo ni ‘makapi’.
Kupitia
 Mtandao wa Youtube, mrembo huyo anaonekana kwenye video akicheza muziki
 wa Bendi ya Yamoto, akiwa mtupu huku ikisikika sauti ya mwanaume 
ikimsihi aendelee kucheza kwa ahadi kuwa video hiyo ni maalum kwa ajili 
yake na si mtu mwingine.
“Hii ni special for me, not for anyone,” alisikika mwanaume huyo.
Video hiyo ambayo ilisambaa haraka mwanzoni mwa wiki hii na kuwa gumzo katika mitandao mbalimbali, wafuasi wengi walikuwa wakikemea tabia hiyo ya kurekodiwa wakiwa utupu.
“Hawa wanajitakia wenyewe, haiwezekani uwe na mpenzi halafu umuamini eti akurekodi kwa ajili yake tu, ni ujinga tu unawasumbua.

Kwanza unaruhusu kurekodiwa ili iweje?,” alihoji mdau mmoja mtandaoni.
Baada ya kuitia kibindoni video hiyo, gazeti hili lilimsaka Lulu wa Video ya Shitobe (siyo Elizabeth Michael) kupitia rafiki zake lakini jitihada ziligonga mwamba kwani ilidaiwa kwamba, kutokana na aibu aliyoipata, aliamua kujificha huku akizima simu sambamba na kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya Instagram.

Licha
 ya kuzifuta, mwanahabari wetu alibahatika kumpata kupitia Facebook 
ambapo anatumia jina la Lulu Mrs Comoro ambako ametupia picha zake 
lakini akashindwa kutoa ushirikiano.
Mtiririko wa warembo hao kurekodiwa video za ngono ulianza kwa Rehema ambaye alionekana kwenye video ya msanii wa Bongo Fleva aitwaye Pasha.
Mtiririko wa warembo hao kurekodiwa video za ngono ulianza kwa Rehema ambaye alionekana kwenye video ya msanii wa Bongo Fleva aitwaye Pasha.
Baadaye
 Agness ambaye alishiriki kwenye video ya Wimbo wa Masogange wa Belle 9 
akafuata Jack Patrick ambaye ameshiriki kwenye video ya Chungwa ya 
msanii Sumalee na Nataka Kulewa ya Diamond akafunga dimba kabla Lulu 
hajaongeza idadi hiyo.
tiko
tiko