tiko
tiko
Yani toka siku ambayo Floyd Mayweather na Manny Pacquiao waliweka
saini zao kwamba wako tayari May 2 2015 kukutana kwenye ulingo,
waoneshane umwamba halafu mwishoni kila mtu atakuwa na majibu kwamba
nani mbabe kweli kati yao, story zinatoka kila siku kuhusu wao.
Mayweather ni kama ametawala sana media, ana mishemishe nyingi zinazomuweka kwenye Headlines.. leo nakusogezea hii toka kwa Pac nae.
Beverly Hills ni sehemu ambayo Mastaa wengi wa Marekani wanaishi.. Tushasikia na kuona mijengo ya Justin Bieber, Jay Z na Beyonce, Kanye West na Kim.. Ni time ya kuuona mjengo mpya wa bondia Manny Pacquiao.
Ameingia zake bank, katoa kama dola mil.
12.5 hivi kuununua mjengo huu… Akaongeza na asante nyingine kwa jamaa
aliyemuuzia, kampa zawadi ya ticket nne za pambano lake na Floyd Mayweather.
Floyd ni kama kajibiwa hivi.. Zile mbwembwe na magari, jumba la kifahari, ndege yake.. Pac nae yuko vizuri kumbe.
Niko karibu na wewe mtu wangu, nakusogezea kila story wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook. Jiunge na mimi
tiko
tiko
Post a Comment