tiko
tiko
Leo
tutazungumzia ni mimea gani ambayo inaweza kumsaidia mwanamke hapohapo
nyumbani kuweza kuondoa matatizo ya hedhi na kuondokana na adha za hapa
na pale ambazo zinaweza kumsumbua kwa muda mrefu hata kumhangaisha sana
katika harakati yake na mume wake kwenye kuijenga familia yake.
Hivyo basi tutaangalia tatizo hili la
hedhi ndogo kupita kiasi likoje kitaalamu na baadaye tutaangalia ni
jinsi gani tunaweza kuliondoa kwa kutumia mimea ya kawaida hapo
nyumbani.
Kwa kawaida mwanamke anaingia hedhi kwa
siku zisizozidi saba na hedhi yake ikawa ya kawaida na yenye mtiririko
unaoeleweka, lakini hedhi ikitoka kidogo sana kwa mwanamke na ikawa
inatoka leo, anakaa siku moja inatoka kidogo tena, na baadaye inakata
ujue ni tatizo na kama mwanamke anatokewa na hali kama hii na anaona ni
jambo la kawaida basi kuanzia sasa ajue kuwa hili ni tatizo na kama
halitatibiwa kwa haraka linaweza kusababisha mwanamke akapatwa na
Amenorrhea ambayo itamsababishia ugumba.
Japokuwa ni muhimu tufahamu kwamba
ugumba siyo kilema kwani una vyanzo, dalili (kama kutokwa na uchafu
mithili ya maziwa mtindi, kukosa hedhi, maumivu ya kiuno na mgongo na
pia chini ya kitovu, maumivu wakati wa tendo, kurudi nje kwa mbegu za
mwanaume, nk) na ni muhimu kuelewa kuwa ugumba unatibika.
Amenorrhea ni ile hali ya mwanamke kutokupata hedhi kwa muda mrefu na wakati huohuo mwanamke huyu yuko kwenye umri wa balehe na si mjamzito.
Amenorrhea ni ile hali ya mwanamke kutokupata hedhi kwa muda mrefu na wakati huohuo mwanamke huyu yuko kwenye umri wa balehe na si mjamzito.
DALILI ZAKE NI ZIPI?
Dalili za ugonjwa huu (Oligomenorrhea) ni kama;
Kupata hedhi iliyo ndogo sana.
Kupata hedhi iliyo nyepesi sana.
Kuwa na mzunguko unaozidi siku 35.
Dalili za ugonjwa huu (Oligomenorrhea) ni kama;
Kupata hedhi iliyo ndogo sana.
Kupata hedhi iliyo nyepesi sana.
Kuwa na mzunguko unaozidi siku 35.
VISABABISHI VYAKE NI VIPI?
Ugonjwa huu husababishwa na mambo yafuatayo;
Mwanamke kuwa na msongo mkubwa wa mawazo (stress).
(b) Kuvurugika kwa homoni.
(c) Mwanamke mwenye matatizo ya sukari (diabetes).
Kufanya mazoezi sana.
Matatizo mbalimbali kwenye mji wa mimba (uterus).
Kupungua sana kwa uzito kwa mwanamke.
Matatizo mbalimbali kwenye vifuko vya mayai (mfano, Polycystic Ovary Syndrome {PCOS})

HUDUMA YA KWANZA IKOJE?
Kwa mwanamke mwenye tatizo hili ni vizuri akachukua maji ya moto, aweke kwenye chupa na aweke chupa hiyo maeneo ya chini ya kitovu wakati wa hedhi.
Kwa mwanamke mwenye tatizo hili ni vizuri akachukua maji ya moto, aweke kwenye chupa na aweke chupa hiyo maeneo ya chini ya kitovu wakati wa hedhi.
Kwa maana hiyo basi ni vema kuchukua
hatua ya haraka na kuwaona madaktari walio karibu na wewe ili kuweza
kutatua tatizo hili ili kujenga familia iliyo bora. Wasiliana nasi kwa
ushauri, vipimo na tiba.
Kwa ushauri vipimo na tiba dokta anapatikana kwenye vituo vyake vya Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Morogoro na Mwanza.Nawatakia afya njema.
Kwa ushauri vipimo na tiba dokta anapatikana kwenye vituo vyake vya Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Morogoro na Mwanza.Nawatakia afya njema.
Itaendelea wiki ijayo.
tiko
tiko
Post a Comment