tiko
tiko
Baada ya mtangazaji maarufu nchini,
zamaradi mketema, kujifungua mtoto wa mwingine ,mashabiki wake wamemjia
juu mtangazaji huyo na kudai kuwa kitendo cha kuzaa nje ya ndoa ni kosa
kwa mtoto wa kiislam kama yeye, kwani kinaonyesha kuwa hakulelewa kwenye
maadili mazuri kama dini yake inavyotaka.
Mashabiki hao wamelaani kitendo cha mtangazaji huyo kuendelea kuzaa bila kufunga ndoa, kitendo ambacho watu wamekitafsiri kama uzinifu na uhuni.
Mashabiki hao wamelaani kitendo cha mtangazaji huyo kuendelea kuzaa bila kufunga ndoa, kitendo ambacho watu wamekitafsiri kama uzinifu na uhuni.
tiko
tiko
Post a Comment