Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA KUVUNJIKA KWA NDOA-2

tiko tiko
Wiki iliyoipita tuliishia katika  kipengele cha tatu cha tatizo la kisaikolojia.
Tuendelee…
Ndoa nyingi zimekua zikivunjika kwa sababu mbali mbali lakini sababu kubwa na imekua ikitokea kwa watu wengi sana ni sababu ya kutokushiriki vizuri tendo la ndoa na mara nyingi inapotokea kwa wanaume.
Kuwahi kufika kileleni limekua ni tatizo kubwa sana ambalo linawasumbua watu wengi sana na husababisha ndoa nyingi sana kutokudumu kwani uvumilivu kwa wake zao unaweza potea na kusababisha ndoa kuvunjika, japo hatuwashauri wanandoa kufikia huko kwani tatizo hili linatibika na ni ugonjwa kama ulivo ugonjwa mwingine.
DALILI ZAKE NI ZIPI?
Tatizo hili (kuwahi kufika kileleni) linadalili tofauti tofauti nazo ni kama;
Tatizo lenyewe kuwahi kufika kileleni ni dalili ya kwanza na ndo dalili kubwa sana.
Dalili nyingine ni mwanaume kuchoka sana pale anapomaliza tu kufanya tendo.
Tatu ni kupitiwa na usingizi mzito sana baada tu ya tendo.
Dalili nyingine kubwa ni kushindwa kurudia tendo kwa wakati huo huo na wengine kukaa masaa au hadi siku kadhaa ndo wanapata hamu tena ya kurudia tendo.
VISABABISHI NI VIPI?
Kuna mambo mengi ambayo yanasababisha tatizo hili la mwanaume kuwahi kufika kileleni, nayo ni kama;Kushiriki au kujihusisha na kujichua (master betion) kwa muda mrefu hulegeza misuli ya uume na kuwa sababu kubwa sana ya kuwahi kufika kileleni.
Pili ni lishe mbovu, pale inapotokea mwanaume akawa hana lishe nzuri kwa maana ya kutopata vyakula vyenye virutubisho visaidiavyo mfumo wa uzazi wa mwanaume.
Kutokufanya mazoezi, mwanaume asipokua na tabia ya kufanya mazoezi mara kwa mara nayo huchangia damu kutokuzunguka vizuri kwenye mishipa ya uzazi ya mwanaume na kusababisha kuwahi kufika kileleni.
Kuathirika kisaikolojia (Psychological Problems), na hii mara nyingi ni pale baada ya tatizo hili kutokea mara ya kwanza kwa mtu na kugundua hilo anakua anapatwa na hofu na pale anaposhiriki basi anawahi kufika kileleni.
Ningependa kukumbusha tena kuwa tatizo hili linatibika na ni ugonjwa kama ulivo ugonjwa mwengine na ni bora ukaanza kutafuta tiba ya ugonjwa huu ikiwa bado ni mapena na uweze kurudi kwenye hali ya kawaida. Na itakuwa ni vizuri zaidi kama utawasiliana nasi kwa ajili ya kumaliza tatizo hili la kuwahi kufika kileleni mapema.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII

tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top