tiko
tiko
Ubora
wake unampa thamani kubwa, wakala wake ametangaza dau kubwa kwa klabu
yoyote ambayo itakuwa tayari kumnunua staa huyo muda wowote kuanzia
sasa.
Wakala wake Jorge Mendes amesema thamani ya Ronaldo kwenye soko ni kama paundi mil. 300 iwapo Klabu yake Real Madrid .
“Huyu ndiye mchezaji bora kuliko wote, huwezi kumfananisha na mchezaji mwingine yoyote“– Mendes.
Ronaldo,
mwenye wa miaka 29, alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa Dunia Mwezi
uliopita alikua akihusishwa kurudi katika klabu yake zamani ya Manchester United lakini Mendez alisisitiza kuwa nyota huyo ataendelea kubaki katika timu ya Real Madrid pamoja na kupendwa na mashabiki wa Manchester United.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia
mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram
na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment