tiko
tiko
Muigizaji
mkongwe na muongozaji wa filamu hapa Bongo, ambae pia ni mkurugezi wa
kamputi ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem, Jacob stephen 'JB'
ameyasema hayo alipokuwa akijibu baadhi ya maswali ya mashabiki wake
ambao ambao walikuwa wanataka wamuone JB akifanya kazi na wasanii
wakimataifa ili kufanya tasnia yaetu ya filamu kupanuka kimataifa. JB
alisema ;
“Jana
nilikuwa najibu maswali ya wadau wa jerusalem.wengi wanapenda kuniona
kimataifa.niliahidi kulijibu leo...ndugu zangu kwanza nashukuru kwa
kuniona nafaa kuwawakilisha kimataifa.lakini mwenzenu umri
umekwenda.kitaalamu umri mzuri wa kuanza utafutaji ni20-35.nina zaidi ya
40.nguvu zimepungua.ndio maana akili yangu naiweka zaidi kuwa producer
kupitia Jerusalem zaidi kuliko kuigiza.ndoto zangu ni kuifanya kampuni
hii iwe kubwa africa.na hao waigizaji wa nje watamani kufanya kazi
nasi.lengo ni filam yetu moja kuuzwa zaidi ya bilion1.inawezekana kwa
sababu soko lipo.mchakato umeshaanza subirini.soko halitafutwi
linajengwa.tuamke,tusifikiri kikawaida tufikiri tofauti.In Jesus Name.
..” JB alimaliza.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment