tiko
tiko
Chege Chigunda amekanusha vikali tuhuma zilizotokana na kusambaa kwa picha akiwa jukwaani na huku mkononi mwake (karibuni na kwapa) akiwa na kitambaa cheusi ambacho baadhi ya watu wanahisi ni hirizi.
Mtu wa kwanza kuikuza picha hiyo na kuandika kuwa ana mashaka kuwa kitambaa hicho huenda kikawa hirizi, ni Maimartha Jesse.
“Angalia
mkono wa kushoto wa chegge @chegechigunda hiiii ni hirizi ? any way
isiwe kesi jiachie chege ila mziki mziki wako naupenda hata ukiniroga
saw a Tu…japo cna imani hiyoo,” aliandika mtangazaji huyo wa zamani wa EATV.
Kauli hiyo ya Maimartha ilimfanya Chege kuamua kutoa ufafanuzi.
“Ushamba+roho
mbaya+uandishi bila kusomea ni hatari sana hahaaahahahahahhaa eti
waandishi magumashi wanadai nimevaa hirizi hahahhaaaaa hii tulivaa juzi
Dodoma siku ambayo alifariki msanii mwenzetu marehemu mez b,msiwe
vimbele mbele @maimarthawajesse @waandishimagumashi,” aliandika Chege.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment