tiko
tiko
Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria
Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo
makubwa sana.....nawashwa sana sehemu za siri (uken). nilienda baadhi
ya hospitali wanasema ni fungus nikatumia dawa baada ya wiki tatizo
likajirudia. Nimekuwa mtu wa kujikuna wakati wote. Ukeni panawaka moto
kwa kujikuna, nimeendelea na tiba mpaka likaibuka tatizo jingine . kila
ninapofanya tendo la ndoa napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati
mwingine mpaka naanza kubleed.
Kurudi tena hospitali wakasema nipime
vipimo vya kansa lakini tatizo likazidi kuongezeka na sasa siwezi hata
kufanya tendo la ndoa. madaktari ktk vipimo wakagundua kwenye uk-e kuna
wekundu mwingi sana badala ya rangi ya pink.
Kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu
ambayo imeshambuliwa na bacteria wasiosikia dawa. Wakajaribu kupeleka
dawa sehemu iliyoathirika bado ikashindikana kuwaua!
Baadae madaktari wa Muhimbili
wakaniuliza ninavyofanya usafi katika sehemu zangu za siri na nikawambia
ukweli kwamba, "NASAFISHA KWA KUINGIZA VIDOLE NDANI, NAJIINGIZA ASALI
NA PAMBA NDANIILI UKKE UWE UMEBANA NA VINGINE VINGI tu tunavyoshauriana
na wasichana (VIUNGA SEHEMU ZA SIRI).
Madaktari wakasema sababuya tatizo langu
nimeua bakteria wote walinzi ndani ya ukke ndo maana nimmeshambuliwa na
bacteria ambao hawaskii dawa
Ndugu zangu nilikuwa nikiunga sehemu za
siri (ukke) kwa VIUNGO na naingiza kucha pamoja na sabuni ili uwe ubane
na upendeze. Sasa nimeshauriwa nitoe kizazi katika umri wa miaka 29
kwani nikiacha itakuwa kansa. Najua mna ndugu zenu wa kike au wake zenu.
Wape tahadhari juu ya hili.
My take: Hivi hadi uweke asali, vidole,
pamba nk ndani ya ukkke ili ubane unatafuta nini? Kuna mashindano ya
zinazobana, na wanawapa tuzo gani hadi utake risk kias hiki?
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment