tiko
tiko
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa
Morogoro leo imemnyima dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu
Tanzania, Sheikh Ponda Issa katika kesi yake inayomkabili ya jinai namba
128 ya mwaka 2013.
Kesi hiyo imesikilizwa na Hakimu Mkazi
Mfawidhi, Marry Moyo ambaye amesema amepokea hati ya kumfutia dhamana
Sheikh Ponda kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kwa mamlaka
aliyonayo hivyo yeye hana mamlaka ya kuikataa hati hiyo.
Kesi hiyo imeahirishwa mpaka Januari 26 na 27, mwaka huu itakaposikilizwa tena.
tiko
tiko
Post a Comment