tiko
tiko
MSANII wa
kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherly ‘Monalisa’ (33)
amesema kuwa yeye siyo gubegube kwani alishawahi kukaa ndani ya ndoa
lakini sasa ameamua kutulia.
Akipiga stori mbili-tatu na Uwazi,
Monalisa alisema kuwa hata kama akiamua kurudi upya kwenye ndoa anaweza
na kutilia msisitizo kuwa mwanaume atayemuoa lazima atambue kuwa
anayemuoa ni Yvonne Cherly na si Monalisa kwani jina hilo litakalokuwepo
kwenye cheti cha ndoa.
“Mimi si gubegube, nikiamua kurudi na
kufunga ndoa naweza tena nitaolewa kama Yvonne Cherly kwani ndilo jina
langu halisi. Ninachokiwaza kwa sasa si kukaa ndani ya ndoa bali namna
kazi zangu zitakavyoweza kuonekana zaidi,” alisema Monalisa.
tiko
tiko
Post a Comment