tiko
tiko
MWIGIZAJI Jimmy
Mafufu amenaswa akimshusha kwa nguvu mwigizaji mwenzake Rado
alipomuomba lifti ya kwenda Kariakoo wakitokea Mwanyamala, Demag Hotel.
Mwigizaji wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu.
Paparazi wetu alimshuhudia Mafufu akimshusha kwa nguvu Rado kwenye gari
lake aina ya Toyota Passo kwa kile alichodai hayupo tayari kumpakiza
kwani hajui kwenye gari hilo jipya ameweka nini.
“Shukashuka, bora apande mwingine kuliko wewe,” alisikika Jimmy huku Rado akitii amri bila shuruti na kuondoka.
“Shukashuka, bora apande mwingine kuliko wewe,” alisikika Jimmy huku Rado akitii amri bila shuruti na kuondoka.
tiko
tiko
Post a Comment