tiko
tiko
Mwigizaji aliyekwenda
hewani Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amemtaka mzazi mwenziye,
Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ aoe ili kulinda heshima yake.
Mzazi mwenza wa ‘Jini Kabula’, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ akipozi.
Akizungumzia maisha yake ya uhusiano
mbele ya mwanahabari wetu, Kabula alisema anajivunia kuzaa na Chuz
lakini kwa kuwa yeye hakupanga kuolewa na prodyuza huyo mkongwe, ni bora
aoe kwani umri unamtupa mkono.
“Chuz aoe tu sasa umri umeenda. Tena
akioa mimi nitacheza muziki balaa siku hiyo, si unajua mambo yangu.
Mbaya zaidi sina kabisa wivu naye,” alisema Jini Kabula.
tiko
tiko
Post a Comment