tiko
tiko
Matukio
ya wazazi kutesa watoto wao yameendelea kuchukua nafasi katika jamii
nyingi dunia hadi kufikia hatua ya watoto kukimbilia katika vituo vya
kulelea watoto yatimaBinti mmoja nchini Australia alifungiwa na wazazi wake ndani kwa miaka mitano huku wakitumia nafasi hiyo kumbaka ili kutimiza haja zao.
Lauren Kavanaugh alizuiwa kula na kunyanyaswa kisha kubakwa nyakati wa usiku na mama yake mzazi pamoja na baba yake wa kufikia.
Luren ambaye kwa sasa ana miaka 21 alizungumzia tukio hilo ambalo amedai limetesa maisha yake kwa kiasi kikubwa huku akiahidi kutoa elimu kwa wasichana wenzake ili wasiweze kupata udhalilishaji kama alioupata yeye.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment