tiko
tiko
Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh
‘Amanda’ amesema mwaka uliopita wa 2014 ulikuwa mbaya sana kwake kwani
aliandamwa na majanga yaliyotikisa maisha yake.
Akizungumzia namna alivyoupkea mwaka wa
2015 Amanda alisema, kwanza anamshukuru Mungu kwa kuuona akiwa mzima
lakini akamuomba amuepushe na mabalaa kwani uliopita haukuwa rafiki
kwake.
“Mwaka 2014 bora umeisha, ulikuwa mbaya
sana kwangu, mwanzo ulikuja vizuri lakini nikashangaa katikati
ukanigeuka, nimenusurika kifo lakini namshukuru Mungu naendelea kupumua
hadi leo,” alisema Amanda.
tiko
tiko
Post a Comment