tiko
tiko
Steve Nyerere alijitokeza
kuamulia ugomvi na kufanikiwa kumtoa Shilole eneo lile lakini baada ya
muda Shilole akarudi na kumdai funguo ya gari Nuh ambaye siku hiyo
alionekana kuwa mpole ikabidi mabaunsa waingilie kati na kumtoa kwa
nguvu shilole, baadae Nuh alionekana akitoa machozi na Malkia wa Taarabu
Khadija Kopa alionekana akim'bembeleza na kumfuta machozi.
sikiliza You Heard ilivyokua ndani ya Kipindi cha Power BreakFast :
sikiliza You Heard ilivyokua ndani ya Kipindi cha Power BreakFast :
tiko
tiko
Post a Comment