tiko
tiko
Ikiwa zimebaki saa chache tu tuuage mwaka 2014 na tuupokee mwaka 2015, mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa namna yake, ameacha gumzo mtandaoni baada ya kutupia picha hizi na kuwatakia kheri ya mwaka mpya mashabiki wake.
Picha hizi ambao alizitupia moja moja
tangu jana zimeleta gumzo kubwa miongoni mwamashabiki wale
‘kindakindaki’ wa mwanadada huyu, kwani wengi hasa vidume wameoneka
kuchanganywa kabisa na picha hizi na wengi wao wamejikuta
wakiachia "comment" za kumsifia hadi kupitiliza.
tiko
tiko
Post a Comment