Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Picha 5 za gari alilozawadiwa mwimbaji Linah.

tiko tiko
l4Makampuni mbalimbali nchini Tanzania sasa hivi yameanza kuamka kwa nguvu kuwatumia vizuri mastaa wa bongo kwenye kutangaza biashara zao ikiwemo Fastjet, Airtel na Vodacom ambao walianza hii kitambo kidogo.
Kwenye list ya mwaka huu mwimbaji Linah nae yumo ambapo baada ya kujituma kwa bidii kama kijana wa Kitanzania, kampuni ya NFZ anayofanya nayo kazi imemzawadia gari hili aina ya Toyota Mark X.
Hii inaonekana kama baraka za kusaidia Wazazi manake miezi kadhaa iliyopita Linah aliwazawadia Wazazi wake nyumba ambayo aliijenga kwa ajili yake lakini baadae akabadili maamuzi na kuwazawadia wazazi.
l5Kwa sasa Linah ameshaanza ujenzi wa nyumba yake Mbezi jijini Dar es salaam.
l3
l2
l1Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top