tiko
tiko

“Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.
Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu
kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye anampenda na anaonyesha
kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana
na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga hilo na huyo anaesifa hapo.
Mzee wa Ubuyu
tiko
tiko
Post a Comment