tiko
tiko
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya
Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea
na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni
mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma
hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani atakuwa anatafuta kitu kutoka
kwake, kwani kama ni kazi, hata yeye mwenyewe hana anachokifanya mjini
zaidi ya kuuza sura kwani kama anaringia utangazaji, yeye ndiye
alimtafutia kazi hiyo.
GPL
tiko
tiko
Post a Comment