tiko
tiko
MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Tanga, Amina Mwidau (CUF) ndiye Mwenyekiti
mpya wa Kamati ya PAC baada ya aliyekuwa mwenyekiti wake, Zitto Kabwe
kung'atuka kwenye nafasi yake ya ubunge.
"Nimefanya kazi na Amina tangu mwaka 2010 tulipokuwa kamati ya POAC na
nina imani, kwa ushirikiano mkubwa wa Makamu Mwenyekiti ndugu Deo
Filikunjombe wataendeleza kazi tuliyoianza ya kujenga mfumo madhubuti wa
Uwajibikaji nchini kwetu" aliandika Zitto Kabwe.
tiko
tiko
Post a Comment