Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Nakukaribisha kwa mara nyingine kuisikiliza hii single mpya ya AY

tiko tiko
.
.
Ambwene Yessaya a.k.a AY baada ya kufanya vizuri kwenye Touch Me time hii anakukaribisha kuisikiliza hii single mpya iitwayo Zigo imetayarishwa na producer Nahreel.
Isikilize hapa mtu wa nguvu, kama una chochote kuhusu hii unaweza kuandika comment yako pia.
Ni halali yako kupata kila kinachonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top