Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Sakata La Nay Wa Mitego Kumfumania Mpenzi wake Lachukua Sura Mpya Baada ya Siwema Kueleza Ukweli Wote Huku AKILIA

tiko tiko

Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema limeingia ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo makubwa yakustusha.....

Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani:

"Daah, siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt, iko hivi:@nay, naomba usisahau kama ni wewe uliniambia nitafute boyfrnd.. tena ulintukania hd mamang marehem, nilikushukuru tu.. nilikaa kimya kwa siku kadhaa but nilirudi tena kukuomba msamaha..
  
"mamaako mzazi anajua, dadaako tina anajua...unasema umenifumania, jaribu kumuogopa mungu, we unakuja kwangu umekuta nmembeba curtis metoka kumpa maziwa..leo unasema umekuta mi nasex kitandani..dahh, ongea ukweli..Nay mimi ndio nilikua nakupenda, hukuwahi onyesha mapenzi hata siku1 kwangu, nilikua natetea penzi letu sanaaa..

"mimi ndo napost insta watsap lakin hukuwah kuonyesha hlo japo unaeza sema ulinisamehe ile ishu ya obasanjo , wallah nilikupenda mungu anaona mpaka nikamkana yule baba alikua ananipa kila kitu nikaamua kua na wewe, sikuwah kuijua shida..

  
"naezasema ulinisamehe kinafiki caus tangia hapo hadi najifungua sikua na raha.. huu sio mwili wangu mimi, kila siku mamaako alikua analia na mimi, okey haijalishi umenifumania au nini caus tayari ulishanitamkia umenchoka nay.. namimi sio mjinga kusex sasahiv mwanangu akiwa mdogo..nmebeba mimba miez9, nmezaa kwa uchungu.. niwewe ndo ulisababisha mimi nisimnyonyeshe mwanangu cz sikuaeza kupata maziwa kwa sababu ya stress.. 

"leo unatangaza umeninunulia gari, unanipa kila kitu..nay nini umenipa? Gari nimali yangu, where's ma lexus, verrosa? kweli hujawah kunipiga lakin ulikua unaninyanyasa. mwanamke yyte ambae angekua mimi lazima angecheat tu, wewe huyohyo unafanya enterview unaulizwa kuoa unasema huwez utashuka kimziki akati mimi niko kwako na mtoto mdogo...na moyo gani? vingap umenfanyia? siwez ongea kila kitu ila jua umenrudisha nyuma saaana tu. mamaako shahidi wangu!!...

"unakumbuka ulikua unaniambia kila siku wewe una watoto, nikwel unao, wengi tu nawajua sio hawa watatu unaowasema.. waseme wooote.. sasa nataka nikwambie tu hivi hata curtis sio wako, babake ni obasanjo, yule alienivalisha pete!!..am done kwa hapa ila nna mengi tu, naumia sana sanaa!! pls nisiulizwe kitu tena wapenzi, nawapenda n thanx!!!

TUPE MAONI YAKO TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE!!!.
WAIONAJE HII...TUPIA MAONI YAKO HAPA!
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top