tiko
tiko
Rapper kutokea Mbeya City, Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness time hii ametusogezea hii video mpya ya single yake inayoitwa Kidawa amemshirikisha Shaa.Video imeongozwa na Nick Dizzo wa Focus Film.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment