tiko
tiko
Hakuna mahali kama Nyumbani , Waingereza wana msemo wao unaosema hivi ‘Nennda Mashariki , nenda magharibi hakuna sehemu bora kama nyumbani .
Huu ndio msemo unaoonekana kutawala kurejea kwa mshambuliaji Fernando Torres ambaye ametambulishwa hii leo (jumapili) mbele ya mashabiki wa timu ya Atleticio Madrid baada ya kukamilika kwa usajili wake wa mkopo wa miezi 18 toka klabu ya Ac Milan .
Mashabiki wapatao 40,000/= waliujaza uwanja wa nyumbani wa Atletico Madrid maarufu kama Estadio Vicente Calderon huku wakiwa wamevalia jezi za Atletico Madrid na wengine wakiwa na jezi za timu za zamani za mshambuliaji huyo .
tiko
tiko
Post a Comment