tiko
tiko
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena
Mohammed ‘Shilole’ amewavaa baadhi ya watu wanaoponda kitendo cha yeye
kukubali kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa siku nyingi, Naftal
Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwa maelezo kuwa ni kama maigizo kwani ndoa hakuna.
Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akionyesha pete aliyovishwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda.
Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akionyesha pete aliyovishwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda.
Akipiga stori na paparazi wetu, Shilole
alisema anawashangaa wanaodhani ataishia kuitwa mchumba tu bila kuiona
ndoa, akasema anachojua ndoa itafungwa siku si nyingi kwani wanapenda
kwa dhati
“Kama ilishindikana kwao ni kwao tu, sisi ni watu wazima tunaojielewa na mpaka hapa tulipofikia hakuna kitakachoharibika. Tunapendana hivyo panapo uzima Mungu akijaalia ndoa itafungwa,” alisema Shilole
tiko
tiko
Post a Comment