tiko
tiko
Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige (kushoto)
akiwasili kuzindua rasmi duka la urembo la ZuRii House of Beauty
linalomilikiwa na mwana Diaspora ambaye pia ni mwanalibeneke Jestina
George Meru (kulia) ndani ya jengo la Dar Free Market jijini Dar es
Salaam.
Mmiliki wa Duka la Zurii (kulia), Jestina George akikagua bidhaa ndani ya duka la urembo lililozinduliwa.Mmiliki wa Duka la Zurii (katikati), Jestina George katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Duka hilo.
Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akikata utepe
kuzindua rasmi duka la ZuRii House of Beauty linalomilikiwa na Mwana
Diaspora ambaye pia ni Blogger Jestina George Meru (anayeshuhudia tukio
hilo).
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akiingia ndani ya duka hilo mara baada ya kulizindua.
Mmiliki
wa duka la urembo la ZuRii House of Beauty na mwana Diaspora ambaye pia
ni mwanalibeneke Jestina George Meru akitoa maelezo ya baadhi ya bidhaa
zake za urembo ambazo ni original kutoka nchini Uingereza na Marekani
kwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige.
Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akiangalia
bidhaa za urembo wa nywele ndani ya dula la ZuRii House of Beauty
lililopo ndani ya jengo la Dar Free Market linalomilikiwa na Mwana
Diaspora Jestina George Meru.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akikagua moja ya bidhaa za nywele ndani ya duka hilo.
Mmiliki
wa duka la urembo la ZuRii House of Beauty na mwana Diaspora ambaye pia
ni mwanalibeneke Jestina George Meru akitoa ushauri na maelezo kwa
baadhi ya wateja waliofika dukani kwake mara baada ya kuzinduliwa rasmi
jijini Dar.
Raia wa kigeni nao walivutiwa na bidhaa za duka la ZuRii House of Beauty.
Mwanalibeneke Khadija Khalili akiangalia baadhi ya bidhaa ndani ya duka ZuRii House of Beauty.
Wateja
wakiendelea kumiminika na kujichagulia bidhaa mbalimbali vikiwemo
vibanio vya nywele vya wakubwa kwa watoto ndani ya duka ZuRii House of
Beauty.
Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akizungumza
na waandishi wa habari (hawapo pichani) waliohudhuria uzinduzi huo
uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mmiliki
wa duka la urembo la ZuRii House of Beauty na mwana Diaspora ambaye pia
ni mwanalibeneke Jestina George Meru akimpa mkono wa shukrani ya
kubariki uzinduzi duka hilo Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha,
Mh. Catherine Magige jijini Dar es Salaam.
Mmiliki wa Duka la Zurii, Jestina George katika akizungumza na wanahabari katika uzinduzi wa duka hiloBaadhi
ya wamiliki wa mitandao ya kijamii pamoja na waendeshaji wa mitandao
hiyo wakiwa katika picha ya pamoja katika uzinduzi wa duka hiloJestina George kulia akizungumza na baadhi ya wanabloggers katika uzinduzi wa duka hilo.Baadhi
ya wamiliki wa mitandao ya kijamii pamoja na waendeshaji wa mitandao
hiyo wakiwa katika picha ya pamoja katika uzinduzi wa duka hilo.
tiko
tiko
Post a Comment