tiko
tiko
Diamond Platnumz ameamua kuwapa darasa
wanaume wa Afrika Mashariki jinsi wanavyotakiwa kuwatreat wapenzi wao
and actually wanawake wa Uganda na kwingineko, wamekoma na mbwembwe za
hitmaker huyo wa ‘Number One’ kwa mpenzi wake, Zari Tlale aka The
Bossslady.
Diamond anaendelea kujichukulia tu marks kutoka kwa mrembo wake huyo wa UG, kwa kumfanyia ‘mandingo’ ambayo utafiti unaonesha kuwa ndio yanayowapagawisha aka kuwadatisha zaidi wanawake. Na pengine huenda staa huyo amempenda kupita kiasi mrembo huyo kwakuwa hatukumbuki kama Penny na Wema wamewahi kupewa huduma hizo kama anazozipata Zari.
BOFYA HAPA WAKILA BATA
tiko
tiko
Post a Comment