tiko
tiko
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza
nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako
miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili
pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia
hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na
kunilea upo wakati nilipitia mambo yaliyozidi kukuumiza zaidi Ya
uchungu wa kunizaa ila ktk yote ulisimama na ulizibeba Aibu zangu bila
kujali jamii,familia au watu binafsi wange kuchukuliaje,Naamini wewe
pekeyako ndio mtu pekee ninayeweza kusimama kwa kujiamini na Kusema ni
WANGU Pekeyangu.
Una mapenzi Ya kweli,naamini Hata kama
kuna wazuri wenye akili,wenye maumbo,muonekano au wenye kitu chochote
kilicho bora Zaidi yangu bdo kwenye macho na Moyo wako utaniona Mimi ni
bora zaidi Ya yoyote Duniani. Nakuombea Afya,Uzima,Furaha,Mafanikio na
kutimizwa kwa haja zote za moyo wako.Ninakujua kama mama bora,mwanamke
jasiri,mwenye msimamo,busara,hekima,mcheshi na rafiki....NENO NAKUPENDA
tu halitoshi
HAPPY BIRTHDAY THE QUEEN OF MY HEART
HAPPY BIRTHDAY MAMA
Risala itaendelea nyumbani kwa Dada wa Rwechungura mana ntakesha hapa". Lulu alimaliza.
Bandiko hili ameliweka usiku wa kuamkia leo.Happy Bith Day Mama Lulu.
tiko
tiko
Post a Comment