tiko
tiko
Ikiwa ni siku chache zinapita toka Staa wa BBA Samantha alipomtembelea rafiki yake ambaye ndie aliyeibuka mshindi kwa msimu huu wa Tisa Idris Sultan, leo kupitia akaunti yake ya Twitter amefunguka kuhusu nafasi ya Idris kwenye moyo wake ambapo ameandika hivi
"Not much to say. He holds 1 of my hearts @IdrisSultan . Thank you
"
Sasa hapo kama unamacho huwez kuambiwa Tazama ila jua kwamba It's Officially kwamba ni wapenzi
Sasa hapo kama unamacho huwez kuambiwa Tazama ila jua kwamba It's Officially kwamba ni wapenzi
tiko
tiko
Post a Comment